Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanaukumbi. Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St. Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na...
4 Reactions
95 Replies
2K Views
Kuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo. Wafanyabiashara hao hupewa mitaji na serikali ya Rwanda japo wao ni...
22 Reactions
127 Replies
3K Views
Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao Tofauti na zamani.angalau wengi walikua brave pia tech haikua kubwa na Pana kama leo.upo dar unaelezea hisia zako Kwa Binti yupo iringa au...
1 Reactions
21 Replies
167 Views
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile jumapili iliyopita wakati wa ibada katika kanisa lake linalojulikana kama, 'Kikosi kazi cha injili', alimuita mmoja wa waumini wake kijana anayeitwa Eliya na...
6 Reactions
112 Replies
2K Views
Wakuu. Mapenzi ya Watanzania kwa SUV pendwa Mazda CX-5 yanazidi kujionesha kwa Mtandao maarufu wa kuingiza Magari kutoka Japan kuiweka katika magari 10 yanayoingizwa sana Tanzania na kushika...
21 Reactions
123 Replies
8K Views
Dunia ni nzuri kwa sababu ya sayansi, na sayansi ni nzuri kwa sababu ya wanawake. Hivi karibuni ulifanyika Mkutano wa Baraza la Kimataifa la Uvumbuzi wa Sayansi na Teknolojia la Wanawake wa mwaka...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani...
0 Reactions
2 Replies
32 Views
Zito Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar. Zito ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema...
1 Reactions
60 Replies
686 Views
Mnajua Mfike Mahali Mumuogope Mungu, hii ni Roho ya mtu asokuwa na hatia, ilopotewa, Kwa Kuchinjwa , Tena Kuchinjwa na kutenganishwa Kichwa na Kiwiliwili. Maumivu aloyapata marehem, wakati...
36 Reactions
161 Replies
9K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeiamuru Benki ya CRDB kumlipa fidia ya Sh300 milioni Zawadi Bahenge kwa kutumia picha yenye sura yake kwenye matangazo ya kibiashara bila ridhaa yake. Pia...
10 Reactions
31 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,326
Posts
49,543,631
Members
667,408
Latest member
Masele mhunzi
Back
Top Bottom