Mwanafunzi Wa Chuo kikuu Cha SAUT Campus ya Mwanza Amefariki Dunia Alipokuwa Ameenda kuogolea Kando Kando Kando ya Ziwa Victoria Maeneo ya Sweya Beach.
Taarifa hiyo ilitolewa Na Wenzake Ambao...
Shirika la Kupambana na Dawa za Kulevya Duniani limethibitisha kuwa Tunisia haizingatii Kanuni za Dunia za Kupambana na Dawa za Kulevya na kuiwekea nchi hiyo vikwazo. Sundowns inasubiri tangazo...
Anajijua yeye ni mchepuko jana kanifumania na mwanamke mwengine akaniletea vurugu!
Akaniita mimi mwanaume malaya haikutosha akaniita mimi "kenge maji!" kitu hichi kiliniuma sana nikamvuta...
Nililazimika kuwajulisha wazazi wake kwamba binti yenu ana hasira za mlipuko ili wajue mtu wa aina gani naishi nae hi ilikuwa simu ya pili anapasua kwasababu za kijinga eti kwanini sipokei simu...
Kuna mbuzi moja inaongea ITV sasa hivi anasema ukanda wa Pwani ilikuwa mali ya Zanzibar, bila kujua kuwa Sulatan aliuza kwa wajerumani, hadi visiwa vya Mafia vikauzwa kwa mjerumani yeye akabaki na...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wakati serikali ikiendelea na ujenzi wa uwanja wa mpira jijini Arusha kwa ajili ya Afcon 2027,
Sio vibaya Arusha iwe na timu ligi kuu kwa lengo la kuufanya mji uwe busy na pilika za kimichezo...
Njemba huyo pichani ambaye ni Mtanzania na mkazi wa Arusha ingawa kwa sasa anaishi nchini Canada amewashangaza watu baada ya kubadili jinsia kutoka kwenye uanaume na kuwa mwanamke, tukio zima la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.