Watu wengi wanaamini ugali ndio chakula pekee cha kuupa mwili nguvu na afya njema lakini si kweli
Ugali ni mlo hatari ni kama sumu ndio maana hata wanyama wachoyo kama mbwa, nguruwe, paka, nk...
Nashindwa kuelewa sana inakuaje haka kakundi kameshinda taifa kubwa kama DRC, kanaendelea kujichukulia miji..............
A town at the heart of mining coltan, a key ingredient in making mobile...
Mara ya kwanza nilioona suala hili Royal Village, nimekuta wapiga picha kibao, ukikaa sura wazi wanakukochoa, na mtu umeshalipa hela nyingi kukaa kwa amani, ukitaka picha utawaita mwenyewe ila...
UTANGULIZI
Pamoja na uwepo wa jitihada za serikali katika kutoa elimu maalumu kwa watu wenye matatizo ya kusikia na kuzungumza, rakini bado kumekua na changamoto mbali mbali ambazo haswa zimekua...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Habari wakuu naombeni msaada, Gafla king'amzi changu cha Azam kimeanza kuonesha Channel za startimes, ni baada ya kuishiwa kifurushi, Cha ajabu leo kiliomba ni search new channel na baada ya hilo...
Watanzania mjue jambo moja tu.
Tanzania Zanzibar hawakuanza kupewa nauli leo.
Wafanyakaz Zanzibar walianza kupewa nauli zamani kidogo.
Raisi Samia angalia hili
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.