Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari zenu wana JF. Nahitaji badilisha rim za kwenye gari yangu zilokuja from Japan na kuweka hizi alloy wheels or sport rims. Gari yangu ni porte na huwa nasafiri kwenda mkoa mara moja or...
2 Reactions
5 Replies
189 Views
Nawasalimu wote wanajukwaa,leo nataka tujifunze silaha kuu tano zinazotumika katika ulimwengu wa kiroho. Kama wengi tunavyojua kuwa katika ulimwengu wa kiroho kuna falme kuu mbili,falme ya kwanza...
120 Reactions
2K Replies
284K Views
Zote ni visiwa katika bahari ya Hindi. Lakini ukivlinganisha, Zanzibar ni maarufu zaidi. Kwa nini imekuwa hivyo? Inaweza kuwa ni kwa vile Zanzibar inanufaika na rasilimali za Tanganyika? Comoro...
2 Reactions
30 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi limemkamata wakili Yonas Masiaya na kumnyima dhamana. Tukio hilo limetokea jana jioni, Aprili 30, 2024, huku likiwaacha wengi wakijiuliza maswali kuhusu utaratibu wa kisheria...
1 Reactions
27 Replies
834 Views
Habari za kazi wakuu, poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku, Mimi ni kijana wa kiume mwaminifu na chapakazi sitaki nizungumze sana ila ufanyaji wangu wa kazi utajieleza. lengo la...
0 Reactions
7 Replies
107 Views
Kibongobongo Ili ndoa idumu lazima mume ujifanye Zuzu aisee. Mdomo mdomo wa mke ndani ukimuendekeza mtabaki kuzozana day-in, day-out hakuna maendeleo. Yaani Ile mke akiamka tu full kuongea tu mtu...
18 Reactions
75 Replies
8K Views
Watu ndani ya CCM wamechoka sasa na kuondoa uoga uliotanda. Mwana CCM ameamua kumwaga mboga bila kujali nini yatamtokea mbele ya safari. Amchana Nchimbi na viongozi wote waliopo nyuma ya...
7 Reactions
31 Replies
612 Views
Hali ya umaskini Kwa Wafanyakazi wa Umma Kwa Tanzania ni kubwa sana. Just imagine yaani 60% ya Watumishi wote wa Umma wanalipwa chini ya 500k. Pamoja na kulipwa kiasi hicho kidogo Bado wanakatwa...
4 Reactions
20 Replies
376 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Kwanini uki ishi nchi za wenzetu zilio endelea zenye ajira nyingi maisha mazuri safi good hygiene medical care nzuri nk. Lakini stress miogoni mwa wstu ziko high mpaka kusababisha high blood...
33 Reactions
132 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,222
Posts
49,540,384
Members
667,349
Latest member
mwamatenge jay
Back
Top Bottom