Kwenu TBS naomba kujua ni halali kuuza sukari iliyowekwa kwenye mifuko Tena ya kilo Moja haioneshi imetoka wapi Wala Haina expire date.
Hii ipo Tukuyu maeneo ya Kiwira, KKK, Tukuyu mjini, sasa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wakuu hatimaye nimefikia uamuzi wa kumuacha rasmi baada ya kuishi nae almost miaka mitano..Rejea uzi nataka kumuacha ila sina pa kuanzia.
Ipo hivi;
Nilileta kisa humu ndani kuomba ushauri juu ya...
Niliowaona kwenye maandano siku ya mei Mosi, 85% ya wafanyakazi walioandamana mbele ya mgeni rasmi, Makamu wa Rais walikuwa na vitambi, viribatumbo. Yaani body mass index (BMI) zao ziko juu, kwa...
Kwanini uki ishi nchi za wenzetu zilio endelea zenye ajira nyingi maisha mazuri safi good hygiene medical care nzuri nk. Lakini stress miogoni mwa wstu ziko high mpaka kusababisha high blood...
Huyu mtu naona katumwa siyo bure kabisa.
Anasema kama mzalendo anamshauri Rais asiongeze mishahara ili fedha hizo zikatatatue kero za mafuriko na kwenye uchaguzi WA serikali za mitaa.
Huyu...
Fuatilia kinachojiri kwenye Maadhimisho ya siku ya Mei Mosi Kitaifa, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, leo Mei 1, 2024
https://www.youtube.com/live/ou5SjfKQdUs?si=ZGhP6q5GsAM4R5SS
Mahusiano imara ndio siri ya furaha ya kweli
Kila mmoja wetu anapenda kujenga mahusiano imara na yenye furaha. Lakini je, ni nini kinachohitajika kuwa na mahusiano ya kudumu? Hapa kuna vidokezo...
Generali Ogolla wa Kenya, alifariki katika mazingira ya kutatanisha. Swali linalokuja ni: Je, serikali ilihusika? Na ikiwa hapana, Je, Kenya itajikuta lini kwenye hatari ya mapinduzi ya kijeshi...
Mh Lissu amefafanua mambo mengi ya msingi ambayo tulikuwa hatujui.
Kumbe mtanganyika ukiwa unaishi Zanzibar huruhusiwi kumiliki ardhi?
Sasa mbona hapa Kakonko nipo na wapemba wengi sana wanalima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.