Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Mwombaji wa kwanza wa hifadhi amepelekwa Rwanda baada ya kukubali kwa hiari kuondoka Uingereza.
Mtu huyo ambaye hajatajwa jina amekwenda Kigali baada ya kupewa pauni 3,000 ikiwa ni utekelezaji wa...
Wakuu kwema?
JF imefanya mjadala leo kuhusu kupata mbadala wa adhabu ya viboko shuleni, huku lengo kubwa ikiwa adhabu hiyo kuondolewa kabisa shuleni.
Nimesikia watu wanasema bila fimbo wangekuwa...
Hayo malumbano yamekaa kimarekani mmetutoa Ukrane mkatupeleka gaza na sasa mnatuelkeza Iran.
Muungano uwepo usiwepo tunahitaji tume huru ya Uchaguzi,mmetutoa kwenye Katiba mkatupeleka kwenye...
Kwanini uki ishi nchi za wenzetu zilio endelea zenye ajira nyingi maisha mazuri safi good hygiene medical care nzuri nk. Lakini stress miogoni mwa wstu ziko high mpaka kusababisha high blood...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Brother "G", huu ninaokupa ni ushauri mzuri ambao utakusaidia kukulindia heshima yako nusu uliyobaki nayo sasa hivi.
Kumbuka Jimbo la Kawe ndio Jimbo namba 1 au 2...
Habarini Wadau,
Leo tarehe 1/5 ni siku ya maadhimisho ya sherehe za Wafanyakazi maarufu kama Mei Mosi. Kitaifa Sherehe hizi zimefanyikia Jijini Arusha
Katika Maadhimisho haya Rais wa Nchi...
Hadi sasa bado umasikini ni janga la taifa na mtu mmoja mmoja.
Ukiacha CCM ambayo wanasiasa wanailaumu kwa kukaa madarakani miaka mingi na bado shida ziko palepale jamii mpya imeibuka inalaumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.