Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hadi sasa bado umasikini ni janga la taifa na mtu mmoja mmoja. Ukiacha CCM ambayo wanasiasa wanailaumu kwa kukaa madarakani miaka mingi na bado shida ziko palepale jamii mpya imeibuka inalaumu...
2 Reactions
6 Replies
58 Views
Je unatokwa na shahawa kwenye uume wako wakati wa haja ndogo/baada ya haja kubwa? Hali ya kutokwa na shahawa kwenye uume wako wakati wa haja ndogo (baada ya tendo la ngono) au muda mwingine...
2 Reactions
15 Replies
174 Views
ANAYOFANYA CHRISTINA SHUSHO NI MATOKEO YA WANAUME WENGI KUOA WANAWAKE WATUMWA "WASIOHURU. SIKU WAKIPATA UHURU WAO HAYO NDIO HUTOKEAGA. Anaandika Robert Heriel Mtibeli Huwezi mfanya Mwanamke...
15 Reactions
189 Replies
2K Views
Msanii mkongwe na miongoni mwa washairi wakubwa nchini na Afrika Mashariki, Amir Sudi Andanenga amefariki dunia usiku wa Mei Mosi, 2024. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na Chama cha Usanifu wa...
1 Reactions
17 Replies
290 Views
Ndugu zangu Watanzania, Katika sherehe za leo zinazoendelea mkoani Arusha na kwa nanmna zilivyofaana na kupendeza na kuvutia na kubwa zaidi kwa namna watu walivyofurika na kumiminika ni haijawahi...
8 Reactions
93 Replies
2K Views
Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma. Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
17 Reactions
100 Replies
5K Views
WAZIRI WA ULINZI NA JKT AMKABIDHI GARI MOJA JENERALI CHELESTINO MSOLA (MSTAAFU) Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 30 Aprili, 2024...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Kama Lissu anaipigania Tanganyika iliyomezwa anakosa gani? Where is Tanganyika? Kwanini hakuna mamlaka ya bara inayoweza kuvuka bahari huku mamlaka ya Zanzibar inaweza kuvuka bahari...
21 Reactions
25 Replies
604 Views
Habari wanajamvi.. Nimejaribu kutembelea miji, manispaa, na majiji mbalimbali kwakweli kuna utitiri mkubwa sana kwa sasa wa maduka yanayouza jezi mbalimbali za timu za mpira wa miguu. Kwa...
4 Reactions
65 Replies
1K Views
Magaidi wa ISIS wenye mlengo wa kiislamu wakiri ndio waliua kwenye msikiti wa waislamu kule Afghanistan Vigumu sana kuelewa mlivyo nyie watu....kuuana ndio zenu. Halafu mnalia lia udini. Islamic...
2 Reactions
8 Replies
253 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,156
Posts
49,538,787
Members
667,339
Latest member
Zimbadynasty
Back
Top Bottom