Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Inasikitisha wastaafu kutoa kauli kama hizi
11 Reactions
26 Replies
510 Views
Kabla ya yote tukae kimya dakika moja kuwaombea wale wote ambao wake zao wanaendeleza mawasiliano na waliokuwa wapenzi wao (ma-ex). Wanapitia magumu kwa kujua au bila kujua. Wanastahili sala zetu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
CHATANDA ASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI JIJINI ARUSHA 📅 01 Mei, 2024 📍Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) ameungana...
0 Reactions
3 Replies
34 Views
Huyu mtu naona katumwa siyo bure kabisa. Anasema kama mzalendo anamshauri Rais asiongeze mishahara ili fedha hizo zikatatatue kero za mafuriko na kwenye uchaguzi WA serikali za mitaa. Huyu...
6 Reactions
42 Replies
2K Views
nimesikitika kuona Yanga sc kufungiwa kusajili kwa sababu ya kutomlipa pesa aliyekua mchezaji wa Yanga sc LAZARO kAMBOLE , kwa maelezo niliyoyapata ni kuwa FIFA waliiandikia barua YANGA mapema tu...
1 Reactions
26 Replies
140 Views
Nimekuta na si mara moja, mwanamume anamchapa mtoto wake kuwa hataki kwenda "chuo"! /Madarasa. Nikamsihi asimchape mtoto (about4-6 yrs) hivyo. Akasema chuo ni lazima, kwingine wala sitamchapa...
6 Reactions
56 Replies
1K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
11M Views
Habarini za humu wadau, Mimi ni kijana naishi hapa jijini Dar, nina kazi na ninaishi katika harakati zangu za kila siku. Sasa kuna mambo ya ujana nilikuwa nafanya sasa hivi yananifikirisha sana...
21 Reactions
354 Replies
17K Views
Je, ni sawa kwa Mzanzibari kulalamika kero za muungano, lakini sio sawa kwa Mtanganyika kufanya hivyo? Kwanini Lissu anashambuliwa badala ya kujibiwa? Zanzibar kuna potential gani ya maisha as...
43 Reactions
105 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Katika sherehe za leo zinazoendelea mkoani Arusha na kwa nanmna zilivyofaana na kupendeza na kuvutia na kubwa zaidi kwa namna watu walivyofurika na kumiminika ni haijawahi...
9 Reactions
98 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,179
Posts
49,539,171
Members
667,340
Latest member
Zimbadynasty
Back
Top Bottom