Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi naishi mkoani ni changamoto sana kupata developer sasa nilikuwa na kazi yangu nataka developer aifanye nimekutana na madogo kama watano hapa wamesomea kozi hiyo ya IT Kuna kazi nilikuwa...
10 Reactions
57 Replies
845 Views
Kuna mambo yanachekesha sana sometimes, unatengeneza tatizo, unawaacha wanahangaika nalo at the same time unatafuta praise team ili ku-justify kuwa tatizo ulilotengeneza sio tatizo. Unakaa kimyaa...
1 Reactions
8 Replies
9 Views
Je, ni sawa kwa Mzanzibari kulalamika kero za muungano, lakini sio sawa kwa Mtanganyika kufanya hivyo? Kwanini Lissu anashambuliwa badala ya kujibiwa? Zanzibar kuna potential gani ya maisha as...
31 Reactions
69 Replies
1K Views
Wakuu hatimaye nimefikia uamuzi wa kumuacha rasmi baada ya kuishi nae almost miaka mitano..Rejea uzi nataka kumuacha ila sina pa kuanzia. Ipo hivi; Nilileta kisa humu ndani kuomba ushauri juu ya...
1 Reactions
11 Replies
12 Views
Kulingana na ripoti hiyo, mhudumu aliyeuawa alisababisha uharibifu kwa vituo vya Wayahudi nchini Ujerumani. Israel ilimlenga na kumuangamiza mfanyakazi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya...
2 Reactions
13 Replies
613 Views
Mwanzilishi wa Binance na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Changpeng Zhao alihukumiwa kifungo cha miezi minne jela Jumanne hii, Aprili 30, 2024 baada ya kukiri kosa mwaka jana la...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.. Niligundua hili tangu mwaka 2023 baada ya kushindwa kusex Kwani uume ulisimana ila nataka kuingiza tu nikamwaga na uume...
7 Reactions
77 Replies
4K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Karibuni!! Ila ninahishi CCMhuwa inazalisha tatizo likiwa kubwa wanaliondoa, wanajipongeza kwa kuliondoa.
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,023
Posts
49,535,329
Members
667,300
Latest member
kitenge ahmad ally
Back
Top Bottom