NAUNGANA NA DR SAMIA SULUHU HASAN KUWATAKIA KHERI WAFANYAKAZI KATIKA SIKU YENU MAY MOSI
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA.
Kwanza kabisa nimpongeze sana MFARIJI MKUU WA TAIFA/ AMIRI JESHI...
Wazee wa zamani waliona mbali sana kifikra kuhusu maisha. Awakuruhusu watoto wao watumie chombo kimoja cha usafiri, wakae pamoja au kuambatana mara kwa mara; waliogopa kuteketeza familia at once...
Na bahati nzuri hilo Kosa lake ameliweka Yeye mwenyewe katika Ukurasa wake wa X ( zamani Twitter ) nadhani akidhani kuwa alichokifanya kilikuwa ni sahihi wakati Kiuhalisia na kwa hali iliyoko na...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.
Unadhani nani...
Ukimfanya mwanaume kitega uchumi lazima utaona anakuboa, lakin ukimfanya ni mpenzi anaetafuta kwa shida ambae anahitaji Pole na kuhurumiwa katika kazi zake kamwe hutoona kama anakukera.
"Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro...
Habari zakupotezana ndugu zangu Wana JF wenzangu,
Mwezi wasita mwaka huu mzazi mwenzangu aliniomba aje aishi kwangu maana haileti picha nzurii yeye kuendelea kuishi kwao hali yakuwa anamtoto...
Mashabiki wasimba wakubali kuwa nao ni tatizo tena kubwa sana kuliko hata mabenchi ya ufundi yote yaliyopita kwani tangu msimu uliopita tulikuwa tunawaambia hii Simba ni mbovu wakawa wabishi huku...
Kutokana na muda kwenda na mambo kubadirika nimekuja kugundua asilimia kubwa ya wanawake hawaishi kwa muda uliopo wanaishi muda ambao wanaume wengi bado hawajaufika.
Kwa kuanza naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.