Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari za jioni wadau. Nilipokuwa chekechea mwaka 1994 pale KKKT korogwe kwa aunt yangu alikuja raisi wa awamu ya pili marehemu Ali Hasan Mwinyi katika uwanja wa TTC chuo cha ualimu Korogwe...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Sisi wote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea. Nani anayefuatia kushika kiti chake kwa mujibu wa itifaki ya ufalme wa Uiengereza. King Charles’ health ‘not good,’ funeral planning underway: Report
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Kwanza niombe moderators muiache hii thread ijitegemee, inaenda mbali zaidi ya kauli ya Lissu. Kama una akili timamu na za kutosha, utakuwa umegundua kwamba suala la kusema kero za muungano...
3 Reactions
15 Replies
287 Views
wakuu hali siyo powa, hivi ni kweli humu hakuna mtu anamhitaji mfanyakazi wa kumpa 3000 kwa siku nina Degree ya Accounting and Finance nipo Arusha ila ikiwa hiyo kazi ya 3000 ipo Arusha itapendeza...
3 Reactions
9 Replies
52 Views
2024 | NUNUA BIDHAA TOKA MATAIFA MBALIMBALI DUNIANI NA MZIGO UTAKUFIKIA MAHALA ULIOPO UTANGULIZI Je, kuna bidhaa unataka kununua toka nje ya nchi kwa sababu hapa Tanzania umetafuta na hukupata...
78 Reactions
5K Replies
566K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
-3 Reactions
193 Replies
2K Views
Habari za jioni wadau. Nilipokuwa chekechea mwaka 1994 pale KKKT korogwe kwa aunt yangu alikuja raisi wa awamu ya pili marehemu Ali Hasan Mwinyi katika uwanja wa TTC chuo cha ualimu Korogwe...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
41 Reactions
50K Replies
3M Views
kwanza nichukue fusa hii nikiwa mdau wa ball kupitia jukwaa hili la michezo la jamii forum kuzipongeza timu kutoka championship na kupanda ligi kuu. KENGOLD FC NA PAMBA FC, Hakika timu hizi...
8 Reactions
31 Replies
564 Views
Hivi wanakuwa wanamaanisha kitu gani?
11 Reactions
64 Replies
662 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,871
Posts
49,530,406
Members
667,270
Latest member
peter one
Back
Top Bottom