Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kama ilivyotangazwa awali , leo ndio hitimisho la awamu ya kwanza ya Wiki ya Maandamano, Ambapo Mwamba Kabisa Freeman Mbowe ataisimamisha Kilimanjaro pale atakapoongoza Maandamano Moshi Mjini...
3 Reactions
14 Replies
326 Views
Penzi ni kikohozi, tunaandika kama mzaha lakini madhara yake ni makubwa sana. Hii inawahusu zaidi wavulana kwa sababu wao ndio wenye maamuzi ya kuoa. Ewe kijana sikiliza kwa makini ukimpata...
32 Reactions
115 Replies
2K Views
Kuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo. Wafanyabiashara hao hupewa mitaji na serikali ya Rwanda japo wao ni...
8 Reactions
42 Replies
329 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Nawashauri vijana WANYAKE MASOKO MAWILI TU MAKUUUBWA SANA NA YOTE YATAMEZA VIJANA WOOTE WAKIACHA UVIVU. 1. CHINA WAMETUPA SOKO LA SOYA BEANS la ukubwa wa tani 400,000 kila mwaka Tanzania kwa...
13 Reactions
65 Replies
967 Views
Nimekuwa natumia usafiri wa basi kwenye shughuli za kujenga nchi yetu, lakini abiria kwenye mabasi wananuka sana hapa Dar es Salaam angalau wa Posta makumbusho labda kutokana na kazi zao. Kwa...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Hichi kisa nimekikumbuka kilinitokea miaka mingi nyuma kama 7 ++ so sio currently event Nilikua na Demu wangu mmoja hivi sasa kila nikikutana nae naishia Goal Moja tuu yaani siendelei tena...
3 Reactions
25 Replies
637 Views
Uchambuzi wa ACT Wazalendo kuhusu mpango wa bajeti wa Wizara ya katiba na sheria kwa mwaka wa fedha 2024/25. Utangulizi. Tarehe 29 April 2024 Wizara ya katiba na sheria iliwasilisha hotuba ya...
1 Reactions
2 Replies
43 Views
Kama mbwai na iwe mbwai, watu wameruhusiwa kuhamia Marekani wanashindwa kuvumilia na kuanzisha choko choko zao kwenye nchi za watu, na bila aibu wanaandamana kuunga mkono magaidi wa HAMAS wenye...
3 Reactions
13 Replies
448 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,880
Posts
49,530,699
Members
667,270
Latest member
peter one
Back
Top Bottom