Habari wakuu naombeni msaada, Gafla king'amzi changu cha Azam kimeanza kuonesha Channel za startimes, ni baada ya kuishiwa kifurushi, Cha ajabu leo kiliomba ni search new channel na baada ya hilo...
Kwenu TBS naomba kujua ni halali kuuza sukari iliyowekwa kwenye mifuko Tena ya kilo Moja haioneshi imetoka wapi Wala Haina expire date. Hii ipo Tukuyu maeneo ya Kiwira, KKK, Tukuyu mjini, sasa...
Si unasema umepinda basi kuna mwana huko Ujerumani amenyongoroteka kabisaa
Baada ya miaka 12 ya mahusiano na mpenzi wake ...mwishowe mwanamke akaomba waachane akaenda mahakamani akidai apewe...
Salaam, Shalom.
Ni wiki sasa, Mwanasheria msomi Tundu Lissu ametoa HOJA nzito kuhusiana na Muungano wetu, na anatoa HOJA Kwa kutumia Katiba ya nchi iliyopo.
Cha kushangaza wanaibuka viongozi...
Habari wanajamvi..
Nimejaribu kutembelea miji, manispaa, na majiji mbalimbali kwakweli kuna utitiri mkubwa sana kwa sasa wa maduka yanayouza jezi mbalimbali za timu za mpira wa miguu.
Kwa...
Wakuu kwema?
JF imefanya mjadala leo kuhusu kupata mbadala wa adhabu ya viboko shuleni, huku lengo kubwa ikiwa adhabu hiyo kuondolewa kabisa shuleni.
Nimesikia watu wanasema bila fimbo wangekuwa...
Kumetokea patashika ya kisiasa tangu Tundu Lissu aushambulie muungano wa Tanzania kwenye kona ya kumgusa Rais Samia Suluhu kama mzanzibar katika kuamua (kikatiba) mambo mahususi ya watanganyika...
NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.
Unadhani nani...
Kama kweli Zanzibar ni nchi basi wanaosema mtu katoka nchi ya zanzibar wapo sawa. Kama Zanzibar ni sehemu ya Tanzania basi sio nchi na hawana Uhuru wa kuitwa nchi. Zanzibar ingetakiwa kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.