Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
64 Reactions
34K Replies
2M Views
JamiiForums imepata wasaa wa kuongea na Dr. Chris Mauki, Mtaalamu wa Saikolojia, Ndoa na Mahusiano, Malezi na Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam juu ya suala hili la Kataa Ndoa, mjadala...
5 Reactions
46 Replies
427 Views
Oiii wananzengo Niko dilema hapa na msala niko na manzi yangu we are almost a year now nampenda and i think she loves me sababu kanivumilia vingi mnooooo ila ana shida moja uzazi wake unasumbua...
3 Reactions
29 Replies
249 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Najua kuna watu watakuja hapa kunishanga na kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais (ADC) tena...
8 Reactions
108 Replies
1K Views
Wengi wamesikia kuhusu kauli ya Nape akiwa Bungeni akilalamika na kufoka kuhusiana na kauli ya Tundu Lisu aliyoitoa, akimtaja Rais Samia ni Mzanzibari. Hoja aliyoisimamia Nape ni kule kumwita Rais...
14 Reactions
20 Replies
459 Views
HAYA NDIO MAKABILA 125 YA TANZANIA ANDIKA NAMBA YA KABILA LAKO UWAJUE NDUGUZO 1. Waalagwa (pia wanaitwa Wasi) 2. Waakiek 3. Wameru 4. Waassa 5. Wabarabaig (pia wanaitwa Wamang’ati) 6. Wabembe 7...
2 Reactions
26 Replies
283 Views
Nimeshangaa sana hii hali Una kuta mdada sister duu, nywele bandia, kucha bandika makeup ya kutosha yupo bar anakunywa hanson choice Wadada wengi siku hizi ukiwakuta bar wenyewe basi wapo na...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema kwa sasa timu yao ina hali mbaya hivyo anawaomba Watanzania waongeze maombi ili waweze kubaki Ligi Kuu Bara msimu ujao. Msikilize hapa...
1 Reactions
8 Replies
143 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,827
Posts
49,529,079
Members
667,256
Latest member
sir dick
Back
Top Bottom