Sote tunafahamu na tunatambua kuwa uchawa (chawaism) upo katika nchi hii na katika ngazi tofauti za uongozi, lakini kitendo cha mtu kuonyesha uchawa uliopitiliza ni zaidi ya uzwazwa. Nilipomsikia...
NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.
Unadhani nani...
Computer yangu aina hp desktop haiwaki imeanza juzi ilikuwa inawaka na kujizima hapo hapo jana nikaiwasha ikawa inaonekana elimewaka lakini hai display chochote kwenye monitor na pia feni ya...
Nimepata conditional admission vyuo mbalimbali.
Courses ni masters ya leadership na education leadership.
Uingereza nimepata vyuo vinne.
Sweden chuo 1
Finland 1
Poland 1
Tatizo ni uwezo wa...
Changudoa home Arusha, baba Mngoni, mama Mchagga
Ilikuwa hivi; baba na mjomba waliwekwa Korokoroni kwa kesi ya ujambazi tukiishi na kusoma Arusha. Mimi na wadogo zangu wawili kuna siku ghafla...
UNAWEZA KUDHANI AMELALA, KUMBE AMEKUFA.
Ni miaka mingi toka afariki dunia, lakini hakuzikwa. Badala yake serikali iliamua kuuhifadhi mwili wake ili uwe ukumbusho kwa vizazi vijavyo. Hiyo ni...
Wamama wa miaka ya 90 kurudi nyuma walikuwa vyuma kwelikweli.
Walikuwa na uwezo wa kukuchapa na kukunyoosha kwa macho tu. Nakumbuka siku nilipotoroka nyumbani kwenda na magenge ya watoto mitaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.