Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu maisha sio kutafutana, maisha ni kutafuta, mwanaume kama huna pesa, basi niseme maisha yako yatakua ya hovyo na utakufa ukiwa na uchungu sana.. Safari ni ndefu sana iliyojaa tabu...
19 Reactions
98 Replies
13K Views
Katika viumbe vilivyoumbwa kama inavyosemekana kwa upande wa jini kila ninaesikia ni lazima usikie ni jinsia ya kike. Kila mtu akisema kakutana na jini ukiuliza ni lazma usikie ni jinsia ya...
2 Reactions
28 Replies
285 Views
Habari wakuu? Moja kwa moja kwenye mada: Kuna mdada nilikutana nae kimapenzi tarehe 16/04/2023, baadae akadai ana mimba yangu. Mimi kwa kuwa nilikuwa na mashaka na ile mimba nikajipa muda nione...
5 Reactions
26 Replies
200 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Wadau nawasalimu.Najua kulikubali hili mpaka uwe na akili kubwa. Mwekezaji Mo Ana asilimia 49 ya Hisa na Wanachama wana asilimia 51 Swali la Msingi 1.Je thamani ya Asilimia 49 za Mo zina Thamani...
3 Reactions
7 Replies
220 Views
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
64 Reactions
34K Replies
2M Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
68K Views
Salaam, Shalom. Ni wiki sasa, Mwanasheria msomi Tundu Lissu ametoa HOJA nzito kuhusiana na Muungano wetu, bandari, na anatoa HOJA Kwa kutumia Katiba ya nchi iliyopo. Cha kushangaza wanaibuka...
25 Reactions
118 Replies
2K Views
Aisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni...
16 Reactions
230 Replies
8K Views
Kwa mwenendo wa Ligi ambayo bado mbichi, endapo coastal union wakiongeza juhudi hakika wanaweza kushika nafasi ya tatu.KMC nao sio wabaya, Nafasi ya nne pia iko wazi kwao.Wapambane
1 Reactions
9 Replies
169 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,963
Posts
49,534,161
Members
667,294
Latest member
Jafu jafu
Back
Top Bottom