Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Zaweza ibuka fyoko fyoko kadhaa je yaweza kusababishwa marais wanaotoka upande wa pili? Maana wanajambo lao kifuani japo hawasemi hadharani ila nadhani there is a day zenji wataamua kukaa pembeni...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha, nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME. Kuna kaka wa KIMASAI kakulia hapa...
2 Reactions
512 Replies
31K Views
@arusha, baba mgoni, mama mchagga By that time my dady and uncle were serving jail sentense, uchumi home ukayumba sana ikalazimika mabanda ya uani tuwape WAPANGAJI. nilikuwa form two to three...
1 Reactions
92 Replies
5K Views
Tundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo. Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake. Sikilizeni hapa cheche zake.
10 Reactions
60 Replies
2K Views
NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo. Unadhani nani...
4 Reactions
95 Replies
2K Views
"Baada ya Bunge la bajeti kukamilika tunatarajia kuanza kuyatumia maji ya ziwa Tanganyika katika shughuli za kilimo na uzuri mitambo tunayo naamini Jambo hili litafanikiwa" - Hussein Bashe, Waziri...
1 Reactions
6 Replies
127 Views
Hawa wazazibar wakija zanzibar wanajiita wazanzibar, wakiwa nchi za watu wanataka waitwe wazanzibar wakija Tanganyika wanataka waitwe watanzania. Sisi watanganyika tukiwa Tanganyika tunajiita...
1 Reactions
8 Replies
51 Views
Tundu Lisu akiwa Dodoma ametoa elimu kubwa sana ya Katiba ya Zanzibar dhidi ya Katiba ya Muungano. Wasomi wengi wamejikuta wakimsikiliza na kwa sasa YouTube majibu clip ya majibu yake ndiyo...
0 Reactions
0 Replies
5 Views
Je, umewahi kubadili dini uliyopewa na wazazi au walezi wako wa mwanzo? Familia ndugu jamaa walikuchukulia vipi baada ya kufanya uamuzi huo?
1 Reactions
28 Replies
693 Views
mama mchaga, baba mngoni nimezaliwa na kukulia the geneva of Africa 'ARUSHA' nina mchumba Mmasai, ADMINISTRATOR wa Tour operators flani. ILIKUWA HIVI!!! Wanandoa:angala ulivyochafuka viatu kwa...
0 Reactions
38 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,893
Posts
49,531,339
Members
667,268
Latest member
peter one
Back
Top Bottom