Vipi wenzangu mnapiganaje na gharama za mawasiliano ya simu?
mwenzenu natumia si zaidi ya 400 kwa siku! kwa mwezi natumia 11,000 tu😅😅
Baada ya hapo naunga sms za buku siku 30
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Mimi UMUGHAKA nimekuwa nikichukiwa sana na Vijana hapa JF tangu nilipokuwa Mwanachama Bora wa jukwaa la Michezo mwaka 2022.
Yaani kuanzia hapo ni kama...
Nape Nnauye ni mfano mbaya wa Viongozi wa Tanzania napata Mashaka hata namna alivyopata nafasi kubwa serikalini hii inamaanisha kuwa Kuna Nepotism kubwa sana serikalini kimsingi Nape Moses Nnauye...
Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia.
Hali ni ya kutisha...
Police wetu wa usalama barabarani wangekua kama hivi, wanapiga picha na risiti dereva anapambana nayo kwenye system na kwenda kulipia kwa contral number rushwa ingepungua sana na kuacha kujazana...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Sawa inatokea umesababisha ajali umeua binadamu mwenzako umekimbia kukwepa kwenda jela na umebahatika hakuna aliyekuona. Huko nyumbani kwako utaishije? unaingia mtandaoni unaona maelfu ya watu...
Asilimia kubwa ya wanamke wanaotumia mitandao hii, Match.com, Eharmony, Plenty of Fish, OkCupid, Bumble, Hingem Tinder, EliteSingles, Happn, Grindir, Tinder na Badoo wanafanya ukahaba na kiwango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.