Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo. Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake. Sikilizeni hapa cheche zake.
3 Reactions
17 Replies
348 Views
Nape Nnauye ni mfano mbaya wa Viongozi wa Tanzania napata Mashaka hata namna alivyopata nafasi kubwa serikalini hii inamaanisha kuwa Kuna Nepotism kubwa sana serikalini kimsingi Nape Moses Nnauye...
7 Reactions
27 Replies
757 Views
Nimekuta na si mara moja, mwanamume anamchapa mtoto wake kuwa hataki kwenda "chuo"! /Madarasa. Nikamsihi asimchape mtoto (about4-6 yrs) hivyo. Akasema chuo ni lazima, kwingine wala sitamchapa...
3 Reactions
44 Replies
801 Views
Gerezani ni sehemu mbaya ya hovyo na yenye mateso ya kila aina, na mikazi migumu migumu maisha muda wote. Tutumie neno " msoto " ndo itakuwa inapendeza zaidi. Unalazimishwa kulala saa 1 jioni na...
71 Reactions
2K Replies
315K Views
Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza Je umesev vipi jina la kipenzi chako...
5 Reactions
198 Replies
2K Views
Hiii! Kuna siku nilipanda bajaji from town kwenda home. Kutoka kituo nilichopandia abiria tulipanda ile Bajaj tulikuwa watu mimi na mama mmoja akiwa na mtoto wake mdogo range kama 2-3 years. Kwa...
3 Reactions
19 Replies
307 Views
1. Msichana ambaye siku zote ye hana nauli ya kuja kukutembelea na anadai kuwa anakupenda. 2. Mwanamke ambaye hawezi kukupatia zawadi ya siku ya kuzaliwa au valentine lakini anatarajia utamleteA...
5 Reactions
8 Replies
221 Views
Dj nipe huu wimboo wa nigeriaaa ambaoo wanaimba wana simba mdaa huu. By the grace of god I shall win this battle x3. Rejea kichwa cha habari hapo juu Benchika akiwasili niliandkka msahau kombe...
3 Reactions
10 Replies
272 Views
Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
85 Reactions
459 Replies
10K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,742
Posts
49,526,795
Members
667,224
Latest member
nassoromtangi
Back
Top Bottom