WanaJF hivi Stabilizer pamojq na TV guard ni vifaa ambavyo vinaweza kukinga vifaa vya umeme kwa Uhakika kama Tv 'Radio' computer' hasa pale umeme unapozidi au radi? ushauri tafadhali ni Stabilizer...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Waheshimiwa habari zenu,
Naomba kuuliza na kufahamu, viatu vya culture kwa hapa DSM wanatengeneza wapi au wanapouzia kwa jumla? Msaaada wakuu nina tanguliza shukrani
Naweka picha ili upate...
Je supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya mbagala inausalama kiafya
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Supu ya ngozi imayochanganywa na mapupu & bandana ambayo hupelekea...
Msichojua ndo hicho sasa
Unamuona mwanaume unamtani na kuvutiwa nae ila sasa ndo inabidi ungalie mambo mengine sasa yanayofanya jambo ilo lishindikane
Nimekutana na mkaka maeneo ya ninayofanyia...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia wa Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.