Wakuu mimi ni mume ambaye tumezaa mtoto mmoja na mke wangu ndoa yetu ina miaka zaidi ya mi4 mpaka sasa.
Ukweni kwangu yaani familia ya wife imekuwa ikinisaidia saana ILA TATIZO WIFE SASA HUWA...
KILA MTU MUWEKEE UKOMO WA KUKUFAHAMU.
1.Kuna watu waishie kujua majina yako tu.
2.Kuna watu ruhusu wafahamu zaidi ya majina yako.
3.Kuna watu zuia kabisa wasijue chochote kuhusu familia yako...
Unapofanya tendo la ndoa na Mtu yeyote, unajenga muunganiko wa kiroho na kimihemko, na huyo mtu.
Ni jambo gumu sana kumsahau mtu ambaye mlikuwa na uhusiano wa namna hiyo, hamjaachana Kwa vita au...
Habari wanaJF,
Niende kwenye point, nimekuwa na tatizo la kuahirisha vitu nivipangavyo. Siyo kwamba siwezi ila ukifika muda tu najikuta tu labda nafanya kitu then nasema nikimaliza nitafanya...
Nimeisikiliza hii ngoma ya Dizasta Vina. Inaitwa Mwanajua....nimeskiliza zaidi ya mara 20 Lakini hadi leo sijaelewa hii fasihi jamaa alilenga kitu gani, Kuna anaefahamu?
Huyu...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Brother "G", huu ninaokupa ni ushauri mzuri ambao utakusaidia kukulindia heshima yako nusu uliyobaki nayo sasa hivi.
Kumbuka Jimbo la Kawe ndio Jimbo namba 1 au 2...
Waziri wa Habari na Tenkolojia ya Mawasiliano, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa yeye...
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.