Ng'ombe tayari wamenunuliwa wake Mecco nyumbani kwa Khalid Bitebo wakichungwa mara ya mwishomwisho.
Kesho asbh na mapema watu wanaanza na supu then dude lenyewe mida ya mchana.
Kiingilio ni uzi...
Wapedwa Wana jf napata shida Sana kutumia Muundo mpya wa jf.
Yaani kwa kweli Kama Kuna mtu anayeweza kunielekeza Kama Kuna uwezekano .
Ukiwa unafwatilia uzi kwa wachangiji wa uzi lbda no 210 kuja...
Kuelekea siku ya wafanyakazi nchini Mei mosi, vijana ambao wanahitimu elimu ya vyuo vikuu tunaomba Serikali yetu chini ya Rais wetu mpendwa Mama Samia na timu yake yote tunamuomba jambo moja nalo...
Kumekuwa na mjadala mkubwa kama yule ni mimi au sio Mimi.
Nimekuja mbele Yenu wa JF ili nijibu hoja na maswali yenu. Ila yule sio mimi.
Karibuni kwa maswali.
Katika MAISHA ya siasa unabidi kuelewa ubora wako unategemea na ubora wa mpinzani wako.
Unapomgeuza mpinzani kuwa adui unabidi kujua unaenda kujiua na kujiangamiza.
Adui -ni yule anayepambana...
Full name: Manchester United Football Club
Nickname(s): The Red Devils
Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C.
League: Premier League
Website: ManUtd.com...
Binadamu tumeumbwa kusahau. Ngoja niwakumbushe mambo mawili matatu ambayo yaliibadilisha Simba kutoka katika mkwamo iliokuwa nao.
1. Tunasahau Simba ilikuwa inacheza hadi dakika ya 60 inakata...
Mimi sio mchoyo nawasanua vijana.
Haijarishi unaanzisha genge, duka la mangi, banda la chipsi, kuuza mitumba, hata iwe kuuza pipi n.k hakikisha unatafuta kwanza kinasa wateja .
Mambo ya customer...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.