Wakati HAMAS wanaivamia Israel October 7 na kuua kikatili Waisrael zaidi ya 1200 na wengine kuwachukua mateka, walijua wazi kuwa Israel wangelipa kisasi kikatili pia,na walijua kabisa kuwa maelfu...
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko...
Mimi sio mchoyo nawasanua vijana.
Haijarishi unaanzisha genge, duka la mangi, banda la chipsi, kuuza mitumba, hata iwe kuuza pipi n.k hakikisha unatafuta kwanza kinasa wateja .
Mambo ya customer...
Wakuu habari,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 sasa, niko chuo X. Naomba niende straight kwenye point wakuu maana nahitaji msaada wa haraka sana. Nimetokea kumpenda binti flani ambaye niko...
Kwa miezi 3 mfululizo sasa DAWASA wamekuwa wakinitumia bili ya maji yenye kiasi kile kile hakibadiliki, FEBRUARY wametuma bili, MARCH wakatuma kiasi kile kile mpaka senti, na hii ya APRIL wametuma...
Wakili msomi Fatma Karume anasema kuwa viongozi waTanganyika ndiyo tatizo.
https://m.youtube.com/watch?v=upbVqLpdVmk
Viongozi wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar wanajitambulisha kama...
Ulizingatia umri wako na wake, nidhamu, heshima na utii, uaminifu, upendo, hekima, busara, fedha, mali, kazi yake, hali na maisha ya familia yake au cheo chake...
Au ulizingatia siha na tabia...
Asalaam Aleykhum warahmatullah Wabarakatul....!
Wadau hasa Waislam (Ndugu katika Imaan) naomba kujuzwa kuwa ni kweli Kiarabu ambacho kilitumika katika Quran iliyoshushwa na katika Hadith ndio...
Kusema ule ukweli kabisa toka nimpe moyo dada mmoja akauvunja basi nahisi kabisa kuwa nimepata ulemavu wa kupenda tena.
Ni miaka mitatu sasa nimekosa hisia za kupenda na wala sioni dalili za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.