Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nipo Dar es Salaam, na kuna mvua + Mafuriko ila nafuatilia yanayoendelea uko China kwenye Beijing Auto Show ya mwaka 2024, ilioanza tar 25 April hadi 4 May. Hii Beijing Auto Show kwa jina jingine...
27 Reactions
190 Replies
3K Views
Je, umewahi kubadili dini uliyopewa na wazazi au walezi wako wa mwanzo? Familia ndugu jamaa walikuchukulia vipi baada ya kufanya uamuzi huo?
1 Reactions
17 Replies
418 Views
Wachina, wakongo, wake ya, wanigeria na wazambia wamekuwa wengi sana soko la Kariakoo. Wachina wanapoingia kwenye umachinga maana yake uchuuzi umekuwa kipaombele cha soko Tanzania . Lakini...
0 Reactions
9 Replies
126 Views
Muda huu mnadai mechi ya RS BERKANE na USMA iko dakika ya 35 na bado iko 0-0 wakati haijachezwa na timu zimeondoka uwanjani.Hivi mko makini kweli!
1 Reactions
11 Replies
511 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kushirikiana na Familia yake wamechangia kiasi cha Millioni 100 yaani mia moja ,ujenzi...
9 Reactions
115 Replies
3K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
10M Views
Leo ukisimamishwa ili ujitambulishe kuwa wewe ni nani, kwa vyovyote vile utaanza kutaja majina yako, ukiendelea mbele zaidi unaweza kutambulisha anuani unayotoka ama nasaba yako. Majina uliyonayo...
15 Reactions
143 Replies
4K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Aisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni...
16 Reactions
229 Replies
8K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,501
Posts
49,521,319
Members
667,150
Latest member
Ellen Maguzu
Back
Top Bottom