Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hivi ni kwanini jua linapochomoza na linapokaribia kuzama sio kali sana kama linavyokuwa muda wa mchana? Wajuzi karibuni. Asante sana.
6 Reactions
53 Replies
1K Views
Triple C mwamba wa Lusaka kaondoka kambini bila ruhusa baada ya uongozi wa Simba kutompa posho ya kombe la muungano. Pia ana dai kuwa kwenye mkataba wake walikubaliana kila Simba iki chukua kombe...
1 Reactions
6 Replies
7 Views
Habari, wakubwa mimi kijana wa kiume 31 miaka. Naomba kwa mtu anayeweza kuwa mwalimu wangu wa ngumi, au kuniunganisha na mwalimu wa martial art, awe anapatikana manispaa ya kigoma ujiji...
2 Reactions
61 Replies
426 Views
Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
65 Reactions
267 Replies
7K Views
Shalom, Kama mdau wenu mimi Wadiz naandika yafuatayo katika Hali ambayo naamini ndiyo ipasayo katika hoja mbalimbali zenye mashiko na kulinda uhalali wa baadhi ya wenye kukataa kuoa. Na katika...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Kama kichwa uzi . Niliona video katika mitandao ya kijamii ikizunguka sana (viral video) ,ikimuonyesha Harmonize na Mwakinyo wakitishiana kupigana . Ila ukweli kabisa pale hakuna ngumi labda ni...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
162K Replies
4M Views
A
Anonymous
Habari, Wafanyakazi wa Chama cha Wafanyakazi wa Majumbani, hifadhi, hotelini, huduma za jamii na ushauri (CHODAWU) hawajalipwa mshahara tangu October 2021. Wafanyakazi wana wakati mgumu sana wa...
1 Reactions
6 Replies
54 Views
  • Sticky
Full name: Arsenal Football Club Nickname(s): The Gunners Founded: 1 December 1886 League: Premier League Website: arsenal.com Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
139 Reactions
155K Replies
8M Views
Kumekuwa na picha zinazoenea kwenye mitandao zikimuonyesha rais samia akiwa katika ibada kanisani,sina uhakika ikiwa ni ibada ya pasaka au otherwise lakini kinachoonekana ni kwamba amekwenda na...
12 Reactions
104 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,391
Posts
49,518,046
Members
667,102
Latest member
nicolaus9991
Back
Top Bottom