Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

kuna habari kwamba yule miss TZ 2006, Wema Sepetu ameanza kuchanganyikiwa. Wiki iliyopita alimfanyia fujo mpenzi wake wa zamani ambaye ni msanii wa maigizo nchini Steven Kanumba na kuvunja vioo...
0 Reactions
97 Replies
26K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kushirikiana na Familia yake wamechangia kiasi cha Millioni 100 yaani mia moja ,ujenzi...
4 Reactions
58 Replies
554 Views
Tumeona ni vema kuweka matukio machache ya Mkutano huu uliofanyika Jana Mjini Singida , ambao ulihutubiwa na Tundu Lissu baada ya Maandamano Makubwa ya kupinga Ugumu wa Maisha na sheria mbovu za...
8 Reactions
33 Replies
820 Views
Kwa kipindi kirefu sana CCM imekuwa ikisiasisha usalama (Politicize national security) wa Taifa letu. Mwanzoni wengine wenye umri mkubwa kidogo ingawa hatujafikia umri wa kina johnthebaptist...
3 Reactions
11 Replies
160 Views
Salaam wadau. Naomba kujuzwa na yeyote kuhusiana na hizi Chipset za MediaTek, haswa ubora wake na kwa nini bidhaa zilizo na Chipset hii zinadharaulika, je ni kweli MediaTek ni hovyo au ni maoni...
2 Reactions
35 Replies
1K Views
Inaaminika kuwa ni ujanja kula Hela ya mtu na kukimbia na kutangaza kuwa sio taipu yangu, mshamba, kajipendekeza etc. Spiritually ( kiroho) mtu akikupa kitu chake, ukapokea, tayari...
2 Reactions
15 Replies
182 Views
Kwanini baadhi ya watu wanakuwa na uwezo wa kufanya mambo mengi yani unaweza kukutana na mtu ana vipaji vingi ukastaajabu na uwezo wake aliojaaliwa?
2 Reactions
22 Replies
307 Views
Mwandishi wa Habari, ERICK KABENDERA ameitaka Kampuni ya Simu ya VODACOM TANZANIA kumlipa USD 1,000,000 MILIONI ndani ya SIKU 14 kwa Kufanikisha kutekwa kwake mwaka 2019. Amefanya hivyo kupitia...
18 Reactions
74 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,251
Posts
49,513,276
Members
667,027
Latest member
Safisha99
Back
Top Bottom