Kuna dada mmoja wa kilokole, tunasoma nae hapa chuoni, nimetokea kumpenda tena sana. Lakini huyu dada hanielewi kabisa, yeye mambo ya kidunia hajui hata kidogo. Mitandao ya kijamii huwezi kumkuta...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Wakuu habari za weekend
Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye...
Habari zenu wapendwa,
Nina mahusiano na mwanaume wangu kwa muda mrefu sana ila kuna mwanaume mmoja alinitokea akawa ananipenda sana lakini sijawahi kumkubalia zaidi uwa tunawasiliana tu...
Ukweli mchungu:
Mwanamke ni MTU anayeingia mzima mzima kwenye mahabati kiasi kwamba hata iweje hawezi kuficha uhusiano wake wa mapenzi.
Mwanamke alieolewa akishapata mchepuko utajua tu. Manake...
Kwa muziki wa bongo Diamond platinum anajua kucheza na mindset za watu ona sasa Sarah wa Kamwambie anavyotrend behind the scenes unaweza kuta ni tukio la kusadikika ila tayari watu washakuwa...
Leo nimepanda Mwendokasi ya Kivukoni Kimara muda wa saa 6. Nikawahi mbele kwa Dereva ni sehemu naamini ukikosa seat ni sehemu salama sana.
Ndani ya gari nikawa nawaza shillingi ilivyoota...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.