Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wawili hao wamewekwa mahabusu kwa masaa zaidi ya 40 kwa kosa linalodaiwa kuwa Uchochezi na kuzua Taharuki . Walikamatwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya RPC Muliro ambaye ndiye mlalamikaji Mkuu ...
8 Reactions
40 Replies
540 Views
Wataalamu nataka blender kwaajili ya mahitaji ya nyumbani, ipi ni low price na haitumii umeme sana lakini ni imara sana, Mnishauri tafadhari
1 Reactions
10 Replies
217 Views
Habari wanajamvi, Mimi nikiwa km mdau wa kupiga vyombo ningependa niwawakilishe wala masanga wenzangu tunaopenda kuhudhuria kwenye hizi Baa na Lounge kupata moja mbili Bariiiiiiiidi. Naona...
0 Reactions
14 Replies
119 Views
Habari wakuu,hebu wale wazoefu wa kuchukua vyombo vya moto hivyo kwenye heading mtujuze machimbo bora Maana sehemu zingine mikataba yao inatunyonya saana mpaka jasho zinavuja pia tujuzane...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde. Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na...
10 Reactions
60 Replies
1K Views
  • Sticky
Full name: Liverpool Football Club Nickname(s): The Reds Founded: 3 June 1892 League: Premier League Website: LiverpoolFC.com Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
124 Reactions
143K Replies
7M Views
Wakuu hii point inajisimamia yenyewe kabisa wala haihitaji kujaziwa nyama nyingi kiviiile maana mengi yako wazi sana kwa sasa - hali ya kitaa inajulikana jinsi kulivyo kwa moto[emoji3533] -...
10 Reactions
40 Replies
418 Views
Zamani tuliweza kuteta mawili matatu na jirani huku kila mmoja akiwa kibarazani kwake. Hii iliboresha sana mahusiano na umoja wetu wa kiafrika. Sasa huyu jirani sijui kenge gani kamshauri...
18 Reactions
41 Replies
1K Views
Habari wana JF Matumaini yangu wote mko poa kabisa. Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
261 Reactions
425K Replies
15M Views

FORUM STATS

Threads
1,849,044
Posts
49,505,326
Members
666,941
Latest member
Ayubu popati
Back
Top Bottom