Kuna wale ambao mungu ametupendelea hata tukikaa jela miezi kadhaa huwa hatuchuji, tunafanyiwa figisu za hapa na pale ili tuharibikiwe na kufubaa lakini bado tunazidi kung'aa tu na maadui zetu...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwa habari Kamili tafadhali litafuteni Gazeti la The Monitor la Uganda ili mjisomee Wenyewe ila Mimi baada tu ya Kuisoma hiyo taarifa na Kunishtua sasa nafanya utaratibu Maalum wa kwenda Gym za...
Baada ya Mapumziko ya Jumapili, leo tena ile kazi ya Ukombozi wa Nchi inaendelea.
Tundu Lissu anaongoza Maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi.
Mkoa wa...
Habari zenu WanaJF mko poa kabisa,
Bila kuchelewa niende kwenye mada ya leo,
Niko Dodoma kibiashara nilichojione kinaleta raha Fulani hivi, aisee Dodoma kutamu jamani.
Nilianza na upande wa...
Kiuhalisia Afrika (Tanzania) suala zima la maendeleo ndo basi tena, zitabaki hizihizi kelele za siku zote mara sijui katiba mpya, nchi achukue yule, mara uchawa, mara ndo baasi tena. Lakini jibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.