Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu salaam! Kwa yeyote mwenye home theater mbovu, iliyoungu haiwaki, hauna kabisa mpango wakuilekebisha, hata Kama imeshatolewa circuit zake za ndani, yaani kifupi bovu bovu tu ninahitaji...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi. Mitungi jamani mitungi jamani...
3 Reactions
39 Replies
315 Views
Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari. Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo...
16 Reactions
120 Replies
2K Views
Unapopanda gari la umma kama kiongozi mwenye dhamana jiandae kisaikologia pia kushuka na kuwa RAIA wa kawaida. Tunategemea kupata mabadiliko makubwa katika nyanja ya kisiasa kuanza mwezi Mei,2024...
14 Reactions
71 Replies
3K Views
Ni mengi yanapita kwenye huu uhusiano, najitahidi kufanya kazi kwa bidii kuimprove standard lakini mwandani wangu ni kama kwake ni tofauti. Mara nyingi kwenye mikusanyiko ya umma ni kama anaona...
14 Reactions
62 Replies
560 Views
Wanabodi, mimi ni mshabiki na mfuasi wa simulizi za mwana Jf maarufu, mwenye powers fulani za ushawishi, Mkuu Maalim Mohamad said, nyingi ya simulizi zake zina some religious controversies...
51 Reactions
1K Replies
96K Views
Naomba mnipe maelekezo jinsi ya kuconect alitop cast TV to android TV.
0 Reactions
7 Replies
133 Views
Habari wakuu Najua JF ni kisiwa cha habari na maarifa pia kumekuwa na nyuzi nyingi ambazo sisi kama member tumekuwa tunazisoma. Basi mkuu ni hivi, wewe kama mwanaJF uzi gani ulikuvutia sana na...
9 Reactions
83 Replies
1K Views
  • Sticky
Full name: Arsenal Football Club Nickname(s): The Gunners Founded: 1 December 1886 League: Premier League Website: arsenal.com Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
139 Reactions
155K Replies
8M Views
1. Zali la mentali – Profesa Jay ft Juma Nature 2. Starehe – Ferouz ft Profesa Jay 3. Latifa – MB Dogg 4. Bongo Dar es Salaam – Profesa Jay ft. Lady Jaydee 5. Darubini kali – Afande Sele ft Ditto...
12 Reactions
55 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,329
Posts
49,515,987
Members
667,067
Latest member
shedlib
Back
Top Bottom