Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
162K Replies
4M Views
Wakuu habari za weekend Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye...
9 Reactions
133 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa, Nina mahusiano na mwanaume wangu kwa muda mrefu sana ila kuna mwanaume mmoja alinitokea akawa ananipenda sana lakini sijawahi kumkubalia zaidi uwa tunawasiliana tu...
3 Reactions
174 Replies
14K Views
Ukweli mchungu: Mwanamke ni MTU anayeingia mzima mzima kwenye mahabati kiasi kwamba hata iweje hawezi kuficha uhusiano wake wa mapenzi. Mwanamke alieolewa akishapata mchepuko utajua tu. Manake...
19 Reactions
79 Replies
7K Views
Mwenye nacho ambacho hakizidi Km 1 kutoka main road aniwekee namba ya simu, tuwasiliane.
2 Reactions
15 Replies
597 Views
Habari wana Jf wenzangu Nimeokota mahala sasa sijui ni nini wanaojua msaada tujuzane
8 Reactions
70 Replies
909 Views
Kwa muziki wa bongo Diamond platinum anajua kucheza na mindset za watu ona sasa Sarah wa Kamwambie anavyotrend behind the scenes unaweza kuta ni tukio la kusadikika ila tayari watu washakuwa...
0 Reactions
16 Replies
138 Views
Eti wakuu? Kuachia ushuzi mara kwa mara ni tatizo au dalili ya tatizo la kiafya? Tusemezane
1 Reactions
7 Replies
8 Views
Leo nimepanda Mwendokasi ya Kivukoni Kimara muda wa saa 6. Nikawahi mbele kwa Dereva ni sehemu naamini ukikosa seat ni sehemu salama sana. Ndani ya gari nikawa nawaza shillingi ilivyoota...
21 Reactions
103 Replies
8K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,305
Posts
49,514,862
Members
667,059
Latest member
latifeh6243
Back
Top Bottom