Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mke wangu hawezi kutumia pesa yake kwa matumizi ya wote yaani hata nikikwama nikamuomba pesa ananiwekea na riba au hata nikiwa mbali yeye akanunua kitu ndani hata kama ni chumvi au sukari ukirudi...
3 Reactions
52 Replies
555 Views
Kumekuwa na picha zinazoenea kwenye mitandao zikimuonyesha rais samia akiwa katika ibada kanisani,sina uhakika ikiwa ni ibada ya pasaka au otherwise lakini kinachoonekana ni kwamba amekwenda na...
10 Reactions
89 Replies
2K Views
Binadamu tumeumbwa kusahau. Ngoja niwakumbushe mambo mawili matatu ambayo yaliibadilisha Simba kutoka katika mkwamo iliokuwa nao. 1. Tunasahau Simba ilikuwa inacheza hadi dakika ya 60 inakata...
6 Reactions
30 Replies
866 Views
Hivi vile vitambulisho vya wauza madafu (wajasiriamali) viliishiaga wapi? eti TSH 20,000/=?
2 Reactions
9 Replies
132 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kushirikiana na Familia yake wamechangia kiasi cha Millioni 100 yaani mia moja ,ujenzi...
7 Reactions
91 Replies
2K Views
Timu ya KenGold kutoka Mbeya imekuwa timu ya kwanza kupanda Ligi kuu ya NBC premiership. KenGold yenye Makao yake Chunya Mbeya imefikisha pointi ambazo haziwezi kupigwa na timu shindani hivyo...
6 Reactions
47 Replies
2K Views
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti. Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa. Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
27 Reactions
248 Replies
5K Views
Miaka ya hivi karibu I jamii ya wakinga ni kama imeamua kua serious kupambana na umaskini. Those guys are true hustlers wenye umoja wa ndugu jamaa na marafiki Unfortunately maneno yamenza mara...
12 Reactions
34 Replies
1K Views
Habari, wakubwa mimi kijana wa kiume 31 miaka. Naomba kwa mtu anayeweza kuwa mwalimu wangu wa ngumi, au kuniunganisha na mwalimu wa martial art, awe anapatikana manispaa ya kigoma ujiji...
1 Reactions
47 Replies
275 Views
Chadema Kwa Sasa mtakuja na ajenda gani maana zile kelele za sukari na mgao wa umeme vimepotea ghafla 🤪🤪 https://www.instagram.com/reel/C4ODa8RtTt9/?igsh=MXFlNmkwZzA3ZGJ2dw== ---- Wakati makali...
2 Reactions
51 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,377
Posts
49,517,578
Members
667,091
Latest member
Kevin bravo
Back
Top Bottom