Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wajuzi na wajuvi, ni lini hizi sherehe za sikukuu za kitaifa zisizo za kidini ziligeuka na kuwa fursa ya wanajeshi kufanya maonyesho ya kazi zao? Maana sikumbuki kabisa kuona mambo kama haya...
2 Reactions
3 Replies
121 Views
Naitakia Simba Ushindi. nguvumoja . KIKOSI CHA AZAM KITAKACHOANZA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA HT 0-0
7 Reactions
238 Replies
5K Views
Katika mambo ambayo yamekuwa yakieleweka vibaya, kukanganya na pia kuzua dhihaka kutoka kwa watu wasioipenda Israel ni pamoja na hili la kupewa misaada wa jeshi/silaha na Marekani. Ni vizuri...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
  • Poll
Tanzania imeshapitia Awamu sita kama sio tano za Marais tofauti tofauti. Je ni Rais Gani aliependwa kuliko wote Tanzania?
24 Reactions
894 Replies
35K Views
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye. Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
7 Reactions
150 Replies
2K Views
Habari wana JF Matumaini yangu wote mko poa kabisa. Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
261 Reactions
425K Replies
15M Views
Kama kuna kitu huwa sipendi nikiwa na mwanamke ni pale anaanza kunipa umbea. Hii inatokea sana baada ya game nono (CHAPUTA hamtojua hili) Sasa bwana, usiku wa juzi kwenye kutuliza kichwa huyo...
2 Reactions
20 Replies
376 Views
Ninaandika haya sio kwa kuponda stlye zetu za kila mwaka za watu kujipanga na likatokea neno labda miaka 60 ya uhuru nadhani vitu hivyo zama hizi za tekenolojia tungeviweka pembeni na tutoe nafasi...
3 Reactions
10 Replies
209 Views
Wakuu..mtoto miaka 6 anaenda 7 hivi ni haki kulala na wazazi mama yake anangangana kuwa ni kawaida. Ana chumba chake kizuri na cha gharama kwel ila toto linataka lala na mama. Mnaonaje wakuu...
6 Reactions
17 Replies
349 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,099
Posts
49,507,515
Members
666,952
Latest member
Ngitejo
Back
Top Bottom