Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Yanga 🆚 Coastal Union 📆 27.04.2024 🏟 Azam Complex - Chamanzi 🕖 12:00 Jioni. Tukutane hapa kwa updates #Daimambelenyumamwiko#
4 Reactions
36 Replies
352 Views
Habari . Katika harakati zangu, nimejikuta kwa makusudi kabisa natongoza mke wa rafiki yangu ilihali najua wazi kabisa mume wake ni rafiki yangu wa karibu sana na tunaelewana kweli kweli...
3 Reactions
82 Replies
6K Views
Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde. Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na...
3 Reactions
25 Replies
339 Views
Ndugu zangu nitawasalimia baadae kuna swali najiuliza, hivi inakuaje mwanamke yupo tayari kutembea na mume wa mtu ila siyo yule aliye single? Yaani unakuta anaongozwa na jamaa ana mke wake au...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Guys ninaomba ushauri, Nina mwanamke wangu nilikuwanaye kwenye mahusiano tangu nipo nasoma mpaka namaliza lakini ilinichukua kama mwaka na nusu bila kupata kazi. Wakati huo yeye alikuwa na kazi...
7 Reactions
58 Replies
986 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeangalia video inayomuonesha Mheshimiwa Shukuru Kawambwa waziri wa zamani na mstaafu katika serikali ya awamu ya nne chini ya uongozi wa Rais Mstaafu Mheshimiwa Daktari...
11 Reactions
61 Replies
2K Views
PLN 0001 2BR Ramani ya Vyumba Viwili Living room (Sebule) 1 Master bedroom with a Dressing room (W.I.C) 1 Single bedroom Kitchen (Jiko) Public toilet (Choo cha jumuiya) Ramani hii ina privacy...
31 Reactions
471 Replies
36K Views
KIA Airport mimepita karibuni nikitokea Doha, walishuka watalii zaidi 200. Bahati ilikuwa asubuhi nimeweza kuona vizuri mandhari na mazingira yake, ni Airport iliyo eneo zuri na panaweza...
3 Reactions
27 Replies
584 Views
Mwanzo wa mahusiano mengi huwa ni bora na imara sana. Lakini kwa bahati mbaya si kila mahusiano yanaendelea na ubora huo. Mahusiano mengi huanza kwa mbwembwe nyingi sana lakini mwisho wake ni...
4 Reactions
9 Replies
884 Views
Rais Samia amesema amefurahi kuona kikosi cha Bendera katika gwaride la Muungano kikiwa na askari wa kike Rais Samia amesema huo ni Mwanzo na msije shangaa 2030 tukawa na CDF Mwanamke Source: TBC
12 Reactions
140 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,970
Posts
49,502,504
Members
666,899
Latest member
Unyade wade
Back
Top Bottom