Mrisho Gambo ameongoza maandamano ya madiwani, wenyeviti wa mitaa na watendaji wa kata.
Kwa ufahamu wangu watendaji wa kata ni watumishi waajiriwa wa serikali kama walivyo waalimu sambamba. Je ni...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maandamano ya Amani yanayoratibiwa na Chadema kwa ajili ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi , yameingia Mkoani Mwanza , leo ni zamu ya...
Jeshi la Polisi limewakamata Watu Wawili waliomdhalilisha Waziri wa zamani wa Miundombinu Dr Shukuru Kawambwa
Aidha Jeshi la Polisi limemtaka mtu aliyerekodi tukio la udhalilishaji huo na...
MITHALI 18:22
Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA.
WAEFESO 5:31
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa...
Habari wana jukwaa
age : 23
gender: Male
nahitaji kazi yeyote ya night shift kwani mambo yamekuwa magumu sana.
ni mwanachuo mwaka wa tatu. na course nnayo soma ni miaka mi 4 na financially...
Kumekuwa na kesi nyingi za akinamama na wanawake kwa ujumla za kuumwa mara kwa mara UTI na magonjwa mengine ya zinaa na kibaya zaidi magonjwa hayo kujirudia hata baada ya kupata matibabu.
Nipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.