Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza anayesoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye jina lake halijawekwa wazi inadaiwa ametaka kufanya jaribio la kujiua akiwa chuoni hapo chanzo kikitajwa ni masuala ya...
Ukitaka vichekesho bila gharama soma Taarifa za Polisi. Katika tukio la hivi karibuni la kupote na Kuuawa kijana Robert Mushi na kishà maiti yake kukutwa Mortuary ya hospitali ya rufaa ya Polisi...
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
Wadau nawasalimu.Kutokana na kuamua kuhamia Jijini DAR nimeonelea ni vema nikawashirikisha Wenyeji wangu (Wakazi wa DSM) ili mnisaidie kujua ni sehemu gani sahihi ya kuishi kutokana na Changamoto...
Baada ya kutokea kwa mauaji ya watu kadhaa, polisi wanafika eneo la tukio kwa lengo la kufanya uchunguzi.
Katika eneo hilo wanakutana na miili isiyopungua mitatu, yote imelala mfu, wanaikagua na...
2022 tulipata kazi fulani nanyumbu Ilikuwa tunaifanya katika kambi za Jeshi ni special task kuwafanyia geo survey so tulipomaliza tu wenzangu wakarudi home mimi nikawa interest na stori za...
Full name: Chelsea Football Club
Nickname(s): The Blues, The Pensioners
Founded: 10 March 1905
League: Premier League
Website: ChelseaFC.com
Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
Niliandika hapa hapa JamiiFoums na tena mwaka huu huu kuwa ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo atakataa kuwa Yanga SC inaenda tena kuwa Bingwa wa NBC Premier League kwa mwaka wa Tatu mfululizo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.