Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Wanajukwaa habari zenu? Sasa inaenda kuwa rasmi, nguli wa sheria na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anafutwa uanachama. Wana-CHADEMA kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili...
9 Reactions
117 Replies
3K Views
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amelieleza Bunge kuwa anapowatazama wake zake roho yake inapata furaha ya kipekee jambo linalosababisha kufanya kazi zake kwa kujituma na kujitoa. Kauli hiyo ameitoa...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
System A Mifumo ya chakra kama inavyofafanuliwa na Shiva. Chakra ya kwanza ni adhara, yenye petali nne za dhahabu iliyoyeyuka (hiyo ni nyekundu). Kwenye petals kuna herufi nne kutoka wa hadi...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
AMINI AHADI ZA MUNGU ZITATOKEA KWAKO HESABU 23:19, Mungu si mtu, aseme uongo, wala si mwanadamu, ajute, iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena, hatalifikiliza? (Ref: 1Samwel 15:29, Malaki 3:6...
12 Reactions
51 Replies
541 Views
Wadau naomba ushauri wenu. Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi. Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message...
3 Reactions
16 Replies
117 Views
Kuheshimu imani ya mtu, hasa katika nchi isiyo na dini, ni suala nyeti sana. Ndiyo maana Watanzania wengi wanapotaka kufanya sherehe, kama si Waislamu, huhakikisha kuwa mchinjaji wa nyama...
5 Reactions
129 Replies
1K Views
Kuna tetesi Azam amelipia VAR next season maana kuna cheaper alternatives ya var. FIFA introduced recently Azam na Board ya ligi wanataka kuipitisha. Kiwake next season, tutajua mchawi nani...
2 Reactions
13 Replies
144 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,099
Posts
49,589,863
Back
Top Bottom