Ukihitaji salamu subiri kwanza nikifika Tanzania, huku Tanganyika kwa mvua hizi zinazoendelea kurindima,kiukweli nitakawia!
Wanawake wengi wa kitanzania wakiwemo wanaharakati wapigania haki za...
TUWEZESHE VIJANA KIUJASIRIAMALI KWA UZOEFU NA UJUZI
Tunaeza kufikia Tanzania tuitakayo kwa kumuezesha kijana tangu akiwa mtoto kiujasiriamali kwa uzoefu na ujuzi.
Nchi yetu ni miongoni mwa nchi...
Kuna Mdada ni mteja wangu mkubwa katika biashara Yangu,Yupo vizuri kimaisha,Kama mwanaume nilijikuta nikimtamani mana ni mtu na nusu Ila kabla ya kumtongoza nilikuwa Namuuliza kama Ana mume Cuz...
Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 now,but mwakani mwez 12 mwakani ninatimiza miaka 29. Kipindi nilipokuwa nina miaka 21-25 nilikuwa namshangaa ndugu yangu mmoja kwamba...
ANAYOFANYA CHRISTINA SHUSHO NI MATOKEO YA WANAUME WENGI KUOA WANAWAKE WATUMWA "WASIOHURU. SIKU WAKIPATA UHURU WAO HAYO NDIO HUTOKEAGA.
Anaandika Robert Heriel
Mtibeli
Huwezi mfanya Mwanamke...
1. Ni Joe Biden Marekani, au Bibi Israel? Kumbe wapi kuna kalika?!
2. Kwamba kwao sasa ni kama kwetu tu na kina Muroto?! Hawa ndugu si walikuwa wakimnyooshea kidole jiwe dhidi ya migomo na...
Mimi najutia nilifanya investment badala ya kufanya savings.
Mwisho wa siku biashara zimekufa sina savings hata moja.
Najutia kutonunua viwanja pesa yote nikaweka kwenye miradi ambayo yote...
Zote ni visiwa katika bahari ya Hindi. Lakini ukivlinganisha, Zanzibar ni maarufu zaidi.
Kwa nini imekuwa hivyo?
Inaweza kuwa ni kwa vile Zanzibar inanufaika na rasilimali za Tanganyika? Comoro...
1. Maryland Bar, ITV, Mwenge.
2. Hongera Bar, Shekilango Road, Kijitonyama.
3. Chagga Bite Bar, Makumbusho.
4. Mori Bar, Sinza.
5. Nakaleshi Bar, Sinza Madukani.
6. 5N Night Club, Sam Nujoma Road...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.