Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo Kuna mtu kanipigia simu nikakumbuka tukio Moja miaka kama 10 imepita Kipindi hicho ujana mwingi+ tulikua wajanja wajanja tumeshika shika vipesa si haba, npo dsm Kuna jamaa yangu ye hata tungi...
1 Reactions
2 Replies
13 Views
Mimi si dakari wala mtaalamu wa mambo ya lishe, bali nimejaribu kusoma vyanzo mbalimbali kuhusu huu ugonjwa na kote nilikupita sijaona palipoandikwa moja kwa moja kuwa sukari ndio chanzo cha...
0 Reactions
6 Replies
7 Views
Kila nikitafakari naona wazee wa Kataa ndoa wapo sahihi hasa baada ya kusoma kitabu kiitwacho ' The Manipulated Man by Esther Vilar (1971)' Muandishi wa kitabu hicho ni mwanamke ambaye kwa kifupi...
3 Reactions
25 Replies
209 Views
Nipo Dar es Salaam, na kuna mvua + Mafuriko ila nafuatilia yanayoendelea uko China kwenye Beijing Auto Show ya mwaka 2024, ilioanza tar 25 April hadi 4 May. Hii Beijing Auto Show kwa jina jingine...
22 Reactions
138 Replies
2K Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) imejipanga kuhakikisha inarejesha mawasiliano ya barabara zote na madaraja yanayoharibiwa na mvua...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
CHUKUA TAHADHARI KUBWA UNAPOJIINGIZA KWENYE KAHUSIANO NA WANAWAKE WAFUATAO. Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA 1. MWAMAMKE ALIYEKO KWENYE MSONGO WA MAWAZO Unapojiingiza katika mahusiano na...
3 Reactions
17 Replies
348 Views
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake 1. TPDC 2. TCRA 4. Ngorongoro 3. Ewura 4. WCF 5. TBS 5. TANAPA 5. Tume ya madini 6...
91 Reactions
2K Replies
522K Views
Breaking: Benchika ameachana rasmi na Simba SC baada ya makubaliano ya pande zote mbili. Pia soma: Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu Klabu...
11 Reactions
83 Replies
4K Views
  • Sticky
Full name: Manchester United Football Club Nickname(s): The Red Devils Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C. League: Premier League Website: ManUtd.com...
169 Reactions
201K Replies
11M Views

FORUM STATS

Threads
1,849,333
Posts
49,516,265
Members
667,070
Latest member
shedlib
Back
Top Bottom