Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini...
Wakuu, kwema.
Ifike mahala tuseme riverside sahivi ndio trending kwa dada poa hapa. Mi sina baya nao, wanakuaga na msaada muda mwingine.
Imagine mbele ya Landmark hotel, mbele ya "sheli" ya...
Huyu binti nilimtoa Arusha akiwa na maisha ya tabu sana nikamleta Dar es Salaam nikamwambia kaa ndani tulia pika fua pumzika usihangaike na maisha nitakutafutia kazi lakini sina haraka tulia...
Kama ilivyoshindwa mambo mengi, kufikia hadi kuuza Bandari basi ni vema sasa kurejesha tena usafiri wa Daladala kama ilivyokuwa awali Kutoka Kariako hadi Mbezi kupitia Kimara.
Hii ni kwa sababu...
Nianze na salamu za mwaka huu wa 2024 kwa wanajukwaa wote,nilibanwa kidogo na shughuli nyingi mwaka huu ila sasa nimerudi tena jukwaani.
Tunaanza; Tambua kuwa nafsi ndiyo sehemu ya mtu iliyobeba...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wanaume ambao mnawatoto embu tupeni uzoefu wenu kwa mara kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua,hiyo siku ilikuwaje na kipi utoweza kusahau kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.