Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ameandika Tundu Lissu kwenye Mtandao wa X Serikali ya SSH leo imevunja makazi ya Wamasai wa Sanya Station, karibu & airport ya KIA. Lengo ni kukabidhi eneo lao kwa kampuni ya Oman Airports ya...
9 Reactions
64 Replies
1K Views
Hii maana yake ni kwamba, Kila jambo litakaloanzishwa na Chadema ndilo litakalojadiliwa, Chama kimekuwa na nguvu ya Ushawishi ya kutisha kwa sasa. Huu ndio muda wa kusukuma mbele Ajenda za Katiba...
24 Reactions
108 Replies
3K Views
MBUNGE SANTIEL KIRUMBA Ataka Serikali Kutatua Changamoto ya Ajira Kwenye Miradi ya Kimkakati ya SGR Mkoani Shinyanga Swali la Mhe. Santiel Eric Kirumba, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakuu bado hatujafika tunapotaka ila kiukweli kuna hatua tumepiga kwa miaka hii. Haya ni mambo ambayo yalikuwepo ndani tu ya miaka isìyozidi 30. 1. Shule za sekondari zilikuwa chache mno kiasi...
3 Reactions
12 Replies
233 Views
pombe ni tamu sana. its Tuesday btw yani msomi kama mimi nipo ndani ya taarabu and i dont care. mtu amualike janabi kwenye pombe siku moja moja. naona ana miss out. janabi nipo na students...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Inashangaza unakuta mfanyakazi mwenzako kasoma Sawa ana master ila kuandika kuomba hela za miradi Kwa ma donors wetu hawezi sijui niseme hana idea wakati kila kitu kipo Google ni yeye kusuka tu...
13 Reactions
37 Replies
709 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
Kwa lugha nyepesi ni kwamba ni kwamba misaada, watu na vinginevyo haviwezi kuingii moja kwa moja Gaza mpakani Rafah bila ukaguzi na idhini ya Israel. Jeshi la Israel limechukua udhibiti wa...
0 Reactions
2 Replies
79 Views
A
Pamoja na kwamba ni jambo jema kuutangazia umma kua wanafunzi kadhaa wamepata ufadhili kupitia wizara ya afya(siku hizi wamebadili jina wanaita Dr Samia super-specialized scholarship program)...
0 Reactions
13 Replies
214 Views
Weekend tulienda kupata mbili tatu tukawa nzwii,sasa akishalewa yeye si kama wale wengine ati zinashukia chini!. yeye akilewa ni amapiano Tu!. atafungua muziki na anataka mcheze mapiano! sasa mimi...
18 Reactions
73 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,052
Posts
49,593,909
Back
Top Bottom