Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kumekucha Arusha naona mwitikio mkubwa wa wafanyakazi je! Wamelazimishwa?(tetesi) na je kama ni Kwa hiari yap wanamategemeo Gani? Sina hakika kama Kuna jipya maana Kwa mara ya kwanza mgeni...
18 Reactions
51 Replies
2K Views
Makonda aanzisha mchezo wa mashindano ya pikipiki Arusha. Binafsi nimependa sana ni moja ya michezo ninayo ipenda.
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kwa mara ya kwanza maishani Leo nampongeza kiongozi kutoka ccm yaani DC wa muheza. Amejitofautisha Sana na viongozi wenzake kwenye masuala ya msingi. Amekemea uongozi wa Tra wilaya Kwa jinsi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mabingwa wa nchi Young Africans leo wanashuka dimbani kumenyana na Tabora United katika hatua ya robo fainali ya michuano ya CRDB Bank Federation cup. Mchezo huu utapigwa katika dimba la chamazi...
2 Reactions
2 Replies
3 Views
Shalom Sina mengi sana hio elimu au utundu nimeikuta mbinga na kwa waluguru, inakuwa kama katerero ila yenyewe mwanamke anashika dudu na kujifanyisha kazi yeye kwa mkono wake ndani ya chungu...
2 Reactions
16 Replies
308 Views
Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma. Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
7 Reactions
37 Replies
1K Views
@Arusha,Mama mchagga (Mmaranguu), baba mngoni Ndege mjanja hunaswa tundu bovu, baada ya kuchemka mwishowe nilisaidiwa kumpata wa kunioa 'Asante' Mama aliwakataa wachumba zangu wawili, watatu...
2 Reactions
26 Replies
301 Views
Ndugu zangu Watanzania, Sina maneno mengi zaidi ya inavyosomeka hapo juu. Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania...
7 Reactions
73 Replies
710 Views
Wakati unajifunza kutongoza unaweza danganya. Utadanganya kwa vile vitu vinavyokufanya uonekane una thamani. Nyumba, pesa, gari au unajuana na watu wakubwa. Lakini haina maana ndo ukalie njia...
9 Reactions
137 Replies
6K Views
Fuatilia kinachojiri kwenye Maadhimisho ya siku ya Mei Mosi Kitaifa, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, leo Mei 1, 2024 https://www.youtube.com/live/ou5SjfKQdUs?si=ZGhP6q5GsAM4R5SS Maadhimisho...
1 Reactions
37 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,073
Posts
49,536,939
Members
667,318
Latest member
Jamesmagogo
Back
Top Bottom