Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa.
Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar.
Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni...
Ni swali linaloniumiza Kichwa Hapa Arusha..
Kila nikiangalia Naona kabisa hakutakuwa na majibu ya Wafanyakazi Nchini zaidi ya Porojo..
Nilidhani Rais atakuja na Kujibu Hoja za wafanyakazi kama...
Breaking: Benchika ameachana rasmi na Simba SC baada ya makubaliano ya pande zote mbili.
Pia soma:
Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu
Klabu ya...
Wakati unajifunza kutongoza unaweza danganya. Utadanganya kwa vile vitu vinavyokufanya uonekane una thamani. Nyumba, pesa, gari au unajuana na watu wakubwa.
Lakini haina maana ndo ukalie njia...
Jimmy Carter ni rais wa Marekani wa 39 ambaye mnamo oktoba 1 mwaka 2023 alikuwa akisherehekea miaka yake 99 tangu kuzaliwa kwake mwaka 1924.
Rais huyo mstaafu alitwala Marekani kuanzia mwka 1977...
ANAYOFANYA CHRISTINA SHUSHO NI MATOKEO YA WANAUME WENGI KUOA WANAWAKE WATUMWA "WASIOHURU. SIKU WAKIPATA UHURU WAO HAYO NDIO HUTOKEAGA.
Anaandika Robert Heriel
Mtibeli
Huwezi mfanya Mwanamke...
1. Sare za chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa - TALGWU
2. Sare za chama cha wafanyakazi wa Afya na Serikali - TUGHE
3. Sare za chama cha walimu Tanzania (CWT)
4. Sare za chama cha...
Tanzania huenda inaweza kuwa nchi pekee ya ajabu katika mambo mengi, likiwemo suala mfumo wa kodi.
Kiuhalisia kodi inayolipwa Serikalini, pamoja na malengo mengine, mojawapo ni kugharamia taasisi...
KILA MTU MUWEKEE UKOMO WA KUKUFAHAMU.
1. Kuna watu waishie kujua majina yako tu.
2. Kuna watu ruhusu wafahamu zaidi ya majina yako.
3. Kuna watu zuia kabisa wasijue chochote kuhusu familia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.