Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Najua Mijuha ( Fools ) watakuja hapa Kunishanga na Kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais ( ADC )...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
"Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro...
6 Reactions
36 Replies
692 Views
Usiseme hukuambiwa. Huku ugali mdogo, nyama nyingi. Story kiduchu, shughuli ya kutosha. Jikaze mwanetu. 1. NYMPHOMANIAC Bwana Seligman, mwanaume wa makamo anayeishi peke yakez anakutana na...
2 Reactions
7 Replies
113 Views
Jionee mwenyewe.
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Dhambi kubwa aliyofanya Nyererew ni kuiacha katiba ambayo mwenyewe kwa kinywa chake alisema katiba hii akiipata dictator, ataumiza sana watu/ WATANZANIA/WATANGANYIKA. Kwa vile ilikuwa inampa...
3 Reactions
19 Replies
134 Views
Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya...
11 Reactions
92 Replies
1K Views
Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema kwa sasa timu yao ina hali mbaya hivyo anawaomba Watanzania waongeze maombi ili waweze kubaki Ligi Kuu Bara msimu ujao. Msikilize hapa...
0 Reactions
4 Replies
39 Views
Salaam, Shalom! Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
22 Reactions
218 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,796
Posts
49,528,028
Members
667,233
Latest member
kagoma jr
Back
Top Bottom