Angalizo: Mada za Msingi kama Hizi Huwezi Wakuta Watanzania wanadili ila Umbea,michezo,siasa na dini .
Kwenye mada,Kwa mujibu wa Utafiti wa Benki ya Dunia,Tanzania inashika nafasi ya 180 kati ya...
Ninaiamini Serikali ya Rais Samia kwenye kulinda haki na uhuru wa watu dhidi ya vitendo vya udhalilishaji ndio maana hatua za awali zimechukuliwa na Rais Samia Kwa aliyekuwa Naibu Waziri Gekul...
Happy birthday Muungano, how old are you now?
60 years!!!
Leo tare 26/04/2024 Muungano wetu Kati ya Tanganyika na Zanzibar= TANZANIA Umetimiza miaka 60....huu ni umri wa mzee mtu mzima...
Maana feedback za wanaotafuta mchumba, mke au mume ni chache na nadra mno ukilinganisha na request za waungwana wengi sana kutafuta wenza humu ndani. Mathalani utakuta mtu kapost mke anatafutwa...
Unatamani nini sasa hivi?
Mi natamani nyama ya kuchoma au kuokwa,iwe ya motooooo. Bahati mbaya sehemu ambayo naweza kupata ishafungwa saa hizi. Sijui kwanini hii hamu haikunijia mapema. . . ...
Nilijua kuwa Makonda kwa staili na hulka yake hasingeweza kubaki kwenye nafasi ya Katibu mwenezi wa CCM kwa muda mrefu na imetokea.
Pia Makonda kubaki RC wa Arusha ni suala la muda tu.
Makonda...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.
Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.