Hizi ofisi za umma zina shida sana, leo nimeamka mapema sana nikasema acha nije wanikadirie ili nilipe kodi yao.
Shida inaanza wananiambia TIN haisomi location ya hapo kwao hivyo inabidi...
Aiseeee kunaaa mambo ambayoo yakifanyikaa mpaka unaogopa, nipo maeneo ya mbezi na askari wa mp wamewapigisha kwata dereva na konda wake.Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumesHAURIII...
Wakuu.....
Sina haja ya kuanza na salam, maana nimevurugwa.
Ipo hivi.....
Kwasasa nimehamishiwa Dar kikazi.
Sasa one time nilialikwa na mwanangu Tupa niende kwenye pare ya kutimiza miaka 10 ya...
ACT WAZALENDO ELIMU ISIMAMIWE NA WIZARA MOJA.
Waziri Kivuli wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amesema Hamidu Bobali ameitaka Serikali kuhakikisha sekta ya Elimu inasimamiwa na Wizara moja ili...
1. Nakumbuka walivyotuaminisha kuhusu NGOMA na tulivyoambiwa wamemuiba Air port tukajua jamaa ni viwango vya Ronaldo.
Tulichoshuhudia MUNGU anajua.
2. Kwa sisi tuliosoma historia ya Ukuta wa...
mwenye idea na biashala hii anijuze,kwan nataka kuanzisha kiwanda kidogo kitakacho zalisha lita 50-100 kwa siku.Ilia sijui pa kuanzia
vifaa,mtaji,mahitaji na upatikanaji wa mashine pia vifungashio
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.