Wakuu, tukubali magari ya umeme yanazidi kuongezeka kwa kasi sana ndani ya hii miaka mitano. Na inavoelekea yatazidi kuongezeka maradufu. Mfano tu angalia hii chart nimeitoa Wikipedia.
Sasa kwa...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali.
Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu...
Wanandoa wengi wanaonekana kuamka nyumba moja na wenza wao tena wengine wakionekana kuwa na nyuso za furaha lakini kiukweli yanayoendelea humo ndani sio ya kufurahisha hata kidogo.
Ukweli...
Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Hossein Salami ametangaza Israel isubiri jibu baada ya mauaji ya mshauri wao wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar...
Friends and Our Enemies...
Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani...
Habari wadau niliomba ushauri hapa simu ipi bora kati ya samsung galax a 33 au a345g. Nimenunua a345g nimegundua hizi simu za a series ni infinix iliyochangamka. Sijazoea samsung za hivi jamani...
Baada ya mgomo wa madaktari Tanzania ulioacha vifo vingi na kufanikisha maboresho mengi katika sekta ya Afya miaka kadhaa iliyopita Sasa na Walimu nao wamekuja na mgomo baridi usioonekana kwa...
Nimepitia picha mbalimbali walizopiga viongozi walipotembelea korea kusini walikoenda kusaini mikopo sijaona waziri wa fedha na uchumi akionekana
Je kwa wataalaamu wa uchumi hili jambo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.