Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nauza TV hisense inch 55 mpya kabisa sijawahi tumia Ilivunjia Kioo wakati natoka nayo Airport kwenda home Nauza laki mbili Tu Kwa mtu ambae anaweza kuwa anaitaji bord yake
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Uganda niliyoiacha mwaka 2001 siyo hii ya Leo ama hakika pongezi nyingi sana ziende kwa Mheshimiwa Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kwa haya Maendeleo. Haya wale Wabongo mlioko Kampala hasa...
12 Reactions
109 Replies
3K Views
Haya ameyasema Leo baada ya Yanga kutangazwa kuwa mabingwa. Aucho amewashangaa Watanzania kuwashangalia wageni hasa katika mbio za ufungaji Bora na kumuombea Fei asifunge lakini pia amependekeza...
10 Reactions
81 Replies
2K Views
Nahitaji mwanaume wa kunitimizia hili.na pia awe na shida na kama hii pia yaani Nawe anahitaji mtoto. I have been so lonely,naamini mtoto atakua faraja yangu. Na kunisaidia kuishi Maisha yenye...
21 Reactions
171 Replies
1K Views
Iko hivii; Hapa mtaan kuna office za kubeti kwa hyo mara nyingi huwa nashinda hapo. Sasa kuna jamaa imetokea tu tumezoeana kwa sababu kila sku tunakutana humo ndanin(simjui jina wala sina details...
18 Reactions
96 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi...
7 Reactions
127 Replies
2K Views
Jamaa analipigania Taifa lake huku mkewe analiwa ovyo.DNA imeonyesha watoto wote siyo wa jamaa isipokuwa mwanamke kazaa na mchepuko ambaye ni baba mchungaji.
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Sijui kama ni mimi au watu wengi. Airtel pamoja na huduma za Airtel Money hazipatikani muda huu.
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Ukiangalia namna viongozi wa Azam na wachezaji wake wana hali ya usimba na uyanga mle. Kitendo cha Azam kufungwa goli tatu na Simba kulileta tafsiri ya aina yake kwasababu Azam walihitahi tu point...
3 Reactions
11 Replies
266 Views
My Take Beatrice wa Moshi amelipa Ile ya Penina wa Goba.Ubaonunasomae 1=1,ngoma hii Bado hakuna mshindi 😆😆😆😆😆 ======= Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Beatrice Elias (36), mkazi...
7 Reactions
173 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,418
Posts
49,716,387
Back
Top Bottom