Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
nimesikitika kuona Yanga sc kufungiwa kusajili kwa sababu ya kutomlipa pesa aliyekua mchezaji wa Yanga sc LAZARO kAMBOLE , kwa maelezo niliyoyapata ni kuwa FIFA waliiandikia barua YANGA mapema tu...
Katika kuelekea World Press Freedom Day, ambayo huadhimishwa kila tarehe 3 Mei, waandishi waliandaa marathon ya kilomita 10. Mbio hizo zilifanyika Dodoma ambao wanatasnia wa habari wamekusanyika...
Wakuu,...unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana..halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali tayari imeshampata Mkandarasi na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa kilometa 41 kwa...
Kila mtu anamuimba Kennedy Juma kama vile yeye ndiyo wa kwanza kukosea, wanasimba hawapaswi kurusha lawama kwa wachezaji bali wanapaswa kujiuliza kwa nini CHAMA, SAIDOO,MIKSON NK hawakucheza na...
Kama ni mfatiliaji mzuri wa hip hop, nadhani Utakuwa umesha Iona hii.
Ila Kama bado, story Ina anzia Mwaka Jana ambapo drake na j Cole wali toa ngoma Ina itwa first person shooter.
Humo ndani j...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.