Recent content by zyola

  1. zyola

    Ajali mbaya kimandolu

    pole sana
  2. zyola

    Mkurugenzi achafua hali ya hewa Tunduma

    @welu kanawe uso, rushwa inashambuliwa haidhibitiwi what is TAKUKURU
  3. zyola

    Mkurugenzi achafua hali ya hewa Tunduma

    mkuu tatizo ni kukurupuka soma kwa makini na uelewe what is delegation of power kabla hujahoji kuhusu evaluaton team au wajumbe wa bodi kwa utawala tulionao ktk nchi hii na mfumo [mazoea] ni vigumu kupinga maamuzi au mawazo ya bosi wako na kwamba kumbuka kamati zote zipo chini ya mkurugenzi na...
  4. zyola

    Mkurugenzi achafua hali ya hewa Tunduma

    mkuu ibara 18 uhuru wa maoni sheria ya 1984 na ib.6 18-[1].bila kuathiri sheria za nchi kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake na kutafuta, kupokea na kutowa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi na pia ana uhuru wa mawasiliano...
  5. zyola

    Mkurugenzi achafua hali ya hewa Tunduma

    mkuu, kuchukuwa rushwa na kupokea rushwa siyo kosa kwa uelewa wako ?. kuhusu polisi na takukuru ni kesi ngapi zinazo wahusu mafisadi zilizo fikishwa mahakamani ?. wenye uelewa finyu mtuu akisema ukweli humwita mpinzani . nahisi ulikurupuka kupositi hukusoma na kuelewa kuhusu masharti, vigezo...
  6. zyola

    Mkurugenzi achafua hali ya hewa Tunduma

    jee sisi tutabaki na nini? wakichuwa vyote tutafakal,tutafakali.
  7. zyola

    Mkurugenzi achafua hali ya hewa Tunduma

    pinda jee kuhusu mafisadi tuwape kipondo
  8. zyola

    Hodi

    asante tupo pamoja
  9. zyola

    Hodi

    nimekaribia asante kwa ukarimu wenu
  10. zyola

    Mkurugenzi achafua hali ya hewa Tunduma

    Toka jikoni, TEO wa halmashauri ya mji wa Tunduma AIDANI MWANSHIGA akubali kuweka rehani kazi yake baada ya mhasibu wake ARTHUR KAFANABO kuchukua rushwa toka kampuni ya VIDOBA ya mkazi wa dsm kiasi cha sh. milioni kumi kama deposit ya kumpa zabuni ya ushuru wa usafi wa mazingira kwa magari...
  11. zyola

    Hodi

    mkuu nimekaribia, kuhusu kinywaji kikuu cha jf habari motomoto nk.
  12. zyola

    Hodi

    waungwana naomba mnipokee jf.
Back
Top Bottom